Top-notch data, GIS and remote sensing.Data, GIS na remote sensing za kiwango cha juu.
We collect, map and analyse data in Tanzania so leaders can see what is happening and decide.Tunakusanya, kuchora ramani na kuchambua data Tanzania ili viongozi waone kinachotokea na kuamua.
Data collection and preparationUkusanyaji na uandaaji wa data
We collect data in the field or from what you already have, clean it, and put it in one place you can trust.Tunakusanya data uwandani au kutoka ulizonazo, tunazisafisha na kuziweka mahali pamoja unapoweza kupaamini.
See moreOna zaidi →Geospatial data and GISData za kijiografia na GIS
Every problem happens somewhere. We collect, manage and analyse location data and publish it as maps and GIS platforms people can use.Kila tatizo lina mahali pake. Tunakusanya, kusimamia na kuchambua data za mahali na kuzichapisha kama ramani zinazotumika.
See moreOna zaidi →Remote sensingRemote sensing
We take satellite and drone images and turn them into maps, measurements and change reports, from one farm to a whole region.Tunachukua picha za satelaiti na droni na kuzigeuza ramani, vipimo na ripoti za mabadiliko, kutoka shamba moja hadi mkoa mzima.
See moreOna zaidi →Analytics and reportingUchambuzi na ripoti
We connect the data you already have and turn it into dashboards and reports that update themselves.Tunaunganisha data ulizonazo na kuzigeuza dashibodi na ripoti zinazojisasisha.
See moreOna zaidi →Have a problem to solve?Una tatizo la kutatua?
Tell us what you have. We will show you what is possible.Tueleze ulichonacho. Tutakuonyesha kinachowezekana.
