Data, GIS, remote sensing and technology in TanzaniaData, GIS, remote sensing na teknolojia Tanzaniainfo@dali.co.tz+255 755 255 292
Dali

HomeNyumbani / DataData

Geospatial data and GISData za kijiografia na GIS

Maps, spatial analysis and geodatabases.Ramani, uchambuzi wa kijiografia na hifadhidata.

What it does for youInakusaidia nini

Every problem happens somewhere. We collect, manage and analyse location data and publish it as maps and GIS platforms people can use.Kila tatizo lina mahali pake. Tunakusanya, kusimamia na kuchambua data za mahali na kuzichapisha kama ramani zinazotumika.

  • Web GIS platformsMifumo ya GIS ya wavuti
  • Geodatabase designUsanifu wa hifadhidata za kijiografia
  • Field survey and mobile data captureUpimaji na ukusanyaji kwa simu
  • Spatial analysis and modellingUchambuzi wa kijiografia
  • Map design and printingUsanifu na uchapaji wa ramani
  • GIS trainingMafunzo ya GIS

How we deliver itTunavyoitekeleza

  1. We listenTunasikiliza

    You tell us the problem and show us the data you have.Unatueleza tatizo na kutuonyesha data ulizonazo.

  2. We designTunabuni

    We propose the idea, with time and cost in writing.Tunapendekeza wazo, pamoja na muda na gharama kwa maandishi.

  3. We buildTunajenga

    We build in steps, test with your team and train them.Tunajenga kwa hatua, tunajaribu na timu yako na kuifundisha.

  4. We supportTunasaidia

    We keep it running, safe and improving.Tunahakikisha unafanya kazi, uko salama na unaboreshwa.

Have a problem to solve?Una tatizo la kutatua?

Tell us what you have. We will show you what is possible.Tueleze ulichonacho. Tutakuonyesha kinachowezekana.

Talk to usZungumza nasi